COM_KUNENA_PROFILEBOX_WELCOME, COM_KUNENA_PROFILEBOX_GUEST
COM_KUNENA_A_USERNAME COM_KUNENA_PASS COM_KUNENA_LOGIN_REMEMBER_ME

"WAWEKEZAJI FEKI KUNYANG'ANYWA ARDHI RUFIJI"
(1 COM_KUNENA_PATHWAY_VIEWING) (1) COM_KUNENA_WHO_ONLINE_GUEST
Welcome to the LARRRI Forum!

Tell us and our members who you are, what you like and why you became a member of this site.
We welcome all new members and hope to see you around a lot!
 • COM_KUNENA_PAGE
 • 1

COM_KUNENA_TOPIC "WAWEKEZAJI FEKI KUNYANG'ANYWA ARDHI RUFIJI"

"WAWEKEZAJI FEKI KUNYANG'ANYWA ARDHI RUFIJI" COM_KUNENA_TIME_SINCE #41

 • Lengishumeishunye
 • COM_KUNENA_OFFLINE
 • Fresh Boarder
 • COM_KUNENA_POSTS 12
 • COM_KUNENA_KARMA: 0
Gazeti la Mwananchi la tarehe 28.08.2012 lilikuwa na habari katika ukurasa wa 5 inayosomeka "Wawekezaji feki kunyang'anywa ardhi Rufiji". Katika habari hii uongozi wa kijiji cha MLOKA wilayani Rufiji umejipanga kuwaondoa katika ardhi ya kijiji wawekezaji wote ambao walipewa ardhi kwajili ya kujenga hoteli za kitalii katika kijiji hicho ambacho kiko upenuni mwa hifadhi ya Selous. Uongozi huo wa kijiji umefikia hatua hiyo kutokana na kubainika kuwa wawekezaji waliopewa ardhi katika kijiji hicho wameshindwa kuendeleza maeneo hayo na wengine kimsingi wamegundulika kuwa si wawekezaji ila madalali wa ardhi.

Kutokana na habari hii kuna mawili matatu ambayo ningependa tujadili.
1. Nini hasa faida za uwekezaji mkubwa katika ardhi ya vijiji. Maeneo mengi ya vijijini kuna migogoro mingi inayotokana na uwepo wa wawekezaji hawa. Mfano maeneo ya Kisarawe, Kilwa, Bagamoyo, Hanang’ n.k
2. Je, hatua inayotaka kutekelezwa na uongozi wa kijiji cha Mloka ni hatua ya kupongezwa au kulaaniwa?
3. Ni nani hasa hawa wanaoitwa “MADALALI” wa ardhi ya kijiji ambao uongozi wa kijiji cha Mloka unawatamka? Ni mtu mmoja mmoja au taasisi? Ni taasisi za serikali au za kiraia?
4. Kimtazamo ni kuwa wanavijiji wengi wamegawa na wanaendelea kugawa maeneo makubwa ya ardhi vijiji hasa hasa kwa kutofahamu sheria za ardhi zinasemaje juu ya mifumo ya umiliki wa ardhi. Je uelewa wa baadae wa wananchi kuhusiana na taratibu za ugawaji ardhi utakuwa na tija au ndio “chelewa chelewa utakuta mwana si wako tena”?
"A sign of wisdom and maturity is when you come to terms with the
realization that your decisions cause your rewards and consequences. You
are responsible for your life, and your ultimate success depends on the
choices you make." - Denis Waitley, author and coach.
COM_KUNENA_EDITING_LASTEDIT: COM_KUNENA_TIME_SINCE COM_KUNENA_BY admin.
COM_KUNENA_THANKYOU: Angolile Rayson

Re: "WAWEKEZAJI FEKI KUNYANG'ANYWA ARDHI RUFIJI" COM_KUNENA_TIME_SINCE #44

 • Fedgar85
 • COM_KUNENA_OFFLINE
 • Fresh Boarder
 • COM_KUNENA_POSTS 4
 • COM_KUNENA_KARMA: 0
madalali ni wanaweza kuwa hata wanakijiji lakini katika hali ya kawaida, hao ni wasomi waliopata mwanga wa elimu lakini badala ya kusaidia wananchi wao wanawakandamiza.
wanakijiji kama walifanya makosa kutoa ardhi bila kujua, ni ushujaa wakishagundua kurekebisha makosa yao ikiwa ni pamoja na kufuata taratibu za urejeshwaji wa ardhi

lakini pia liko tatizo la ufuatiliaji wa hao wawekezaji wakishagawiwa maeneo kuona kama wanafuata taratibu. Na wasipofuata, wanyang'anywe ardhi
COM_KUNENA_EDITING_LASTEDIT: COM_KUNENA_TIME_SINCE COM_KUNENA_BY admin.

Re: "WAWEKEZAJI FEKI KUNYANG'ANYWA ARDHI RUFIJI" COM_KUNENA_TIME_SINCE #57

 • Lengishumeishunye
 • COM_KUNENA_OFFLINE
 • Fresh Boarder
 • COM_KUNENA_POSTS 12
 • COM_KUNENA_KARMA: 0
tatizo kubwa lipo hapo kwenye kufuatilia kama mwekezaji anatimiza utaratibu wa kisheria katika uendelezaji wa maeneo aliyoyachukua. Kwa mfano kuna wawekezaji wengi tu wanakodishia wananchi mashamba kwenye kila msimu wa kilimo lakini hakuna ufuatiliaji katika hili. Labda swali la msingi ni hili, nani hasa mfuatiliaji?
"A sign of wisdom and maturity is when you come to terms with the
realization that your decisions cause your rewards and consequences. You
are responsible for your life, and your ultimate success depends on the
choices you make." - Denis Waitley, author and coach.
COM_KUNENA_EDITING_LASTEDIT: COM_KUNENA_TIME_SINCE COM_KUNENA_BY admin.

Re: "WAWEKEZAJI FEKI KUNYANG'ANYWA ARDHI RUFIJI" COM_KUNENA_TIME_SINCE #67

 • myenzi
 • COM_KUNENA_OFFLINE
 • Fresh Boarder
 • COM_KUNENA_POSTS 9
 • COM_KUNENA_KARMA: 0
Obviously SERIKALI hasa maafisa ARDHI kwaniaba ya Kamishina wa ARDHI. Wananchi pia wana WAJIBU maana na wao wana maslahi ya kutaka ardhi irejeshwe kwao.
COM_KUNENA_EDITING_LASTEDIT: COM_KUNENA_TIME_SINCE COM_KUNENA_BY admin.
COM_KUNENA_THANKYOU: Angolile Rayson
 • COM_KUNENA_PAGE
 • 1

News Content

Powered by JoomlaGadgets

mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday367
mod_vvisit_counterYesterday820
mod_vvisit_counterThis week1187
mod_vvisit_counterLast week9462
mod_vvisit_counterThis month33877
mod_vvisit_counterLast month57168
mod_vvisit_counterAll days1579407

We have: guests, bots online
Your IP: 54.162.107.122
 , 
Today: SEPTEMBER_SHORT 25, 2017
FOOTER_LINE1
FOOTER_LINE2