MSUKUMO NA HARAKATI ZA KUBADILI MFUMO WA UMILIKAJI ARDHI TANZANIA. Na Ng’wanza Kamata (ed)), 2000

PDF
Print
Email
Written by   
DATE_FORMAT_LC1

MSUKUMO NA HARAKATI ZA KUBADILI MFUMO WA UMILIKAJI ARDHI TANZANIA. Na Ng’wanza Kamata (ed)), 2000


Kwa muda mrefu sasa miji mingi ya Tanzania imekuwa ikikua na kupanuka kwa kasi sana . Ukuaji na upanukaji huu wa kasi umekuwa na matokeo yasiofurahisha kwa wakazi wengi wa vijiji vilivyo ama pembezoni au karibu na miji hii. Wilaya ya Morogoro vijijini, ambayo baadhi ya wakazi wake wanaishi kwenye eneo la Wilaya inayopakana na mji wa Morogoro, imekuwa ikikabiliwa  na tatizo hili kwa muda mrefu, na kwa kasi hali ilivyo, mwenendo hauonyeshi kutoa ahueni kwa wakazi wa vijiji vinavyohusika.


Ni matumaini ya HAKIARDHI kwamba kitabu hiki kitasaidia katika kuendeleza mjadala juu ya masuala ya ardhi na kufikia malengo ambayo hatma yake ni haki kwa wazalishaji wadogowadogo hususani wakulima, wafugaji na wazalishaji wengine walio vijijini.

Last Updated ( DATE_FORMAT_LC1 )
 

News Content

Powered by JoomlaGadgets

Who's Online

We have guests online
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday1388
mod_vvisit_counterYesterday1630
mod_vvisit_counterThis week8551
mod_vvisit_counterLast week10952
mod_vvisit_counterThis month39181
mod_vvisit_counterLast month39131
mod_vvisit_counterAll days1437455

We have: guests online
Your IP: 54.159.103.80
 , 
Today: JUNE_SHORT 23, 2017
FOOTER_LINE1
FOOTER_LINE2