FUKUTO LA MIGOGORO YA MAENEO NA HATMA YA WAZALISHAJI WADOWADOGO TANZANIA (Aida Isinika, (ed) 2002

PDF
Print
Email
Written by   
DATE_FORMAT_LC1

Yaliyomo katika kitabu hiki, ni makala, majadiliano na mapendekezo yaliyo jumuishwa pamoja na kutolewa kama kitabu kimoja. Makala katika kitabu hiki ni matokeo ya Warsha mbili tofauti zilizoendeshwa na HAKIARDHI huko Wilaya za Meatu na Newala. Masuala na mapendekezo yaliyojadiliwa katika warsha zote mbili katika Wilaya tofauti kimsingi yanashabihiana na hivyo kutoa msukomo kwa kitabu hiki kutolewa. Pia katika kitabu hiki ipo mada fupi inayoelezea na kufafanua dhana za msingi katika mfumo wa umilikiji ardhi nchini na zinavyotumika katika sera ya Taifa ya Ardhi na Sheria ya Ardhi Na.4 ya 1999 na Sheria ya Vijiji Na.5 ya 1999 .

Ni matumaini ya HAKIARDHI kwamba kitabu hiki kitasaidia katika kuendeleza mjadala juu ya masuala ya ardhi na kufikia malengo ambayo hatma yake ni kumaliza fukuto la migogoro ya ardhi nchini, jambo ambalo limesababisha wazalishaji wa vijijini kutojua hatima yao.

Aida Isinika ni Mhadhiri na Kurugenzi katika Taasisi ya Elimu ya kujiendeleza ya Chuo Kikuu cha Sokoine, Mkoani Morogoro. Ana Shahada ya Udaktari (Ph.D) katika Sayansi ya Uchumi- Kilimo na ni mwanachama na Mkurugenzi wa HAKIARDHI.

Last Updated ( DATE_FORMAT_LC1 )
 

News Content

Powered by JoomlaGadgets

Who's Online

We have guests online
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday803
mod_vvisit_counterYesterday1641
mod_vvisit_counterThis week8603
mod_vvisit_counterLast week11680
mod_vvisit_counterThis month29731
mod_vvisit_counterLast month40315
mod_vvisit_counterAll days1518093

We have: guests, bots online
Your IP: 54.158.253.134
 , 
Today: AUGUST_SHORT 17, 2017
FOOTER_LINE1
FOOTER_LINE2