ARDHI NI UHAI; Muhutasari wa mapendekezo ya Tume ya Rais ya Maswala ya ardhi Tanzania. (G.Hadjivayanis,) 1995

PDF
Print
Email
Written by   
DATE_FORMAT_LC1

Hiki ni kitabu kidogo kinacho ainisha kwa muhutasari Ripoti ya Tume ya Rais ya Masuala ya Ardhi ya mwaka 1992 kwa lugha rahisi na nyepesi. Ni kwa matumaini kuwa watu wanaweza kuelewa, kujadili na kuongeza wigo wa mdahalo wa harakati zao za kurudisha umiliki wa ardhi yao mikononi mwa umma.

Chapisho hili litasaidia kuinua kiwango cha uwelewa na sauti za wakulima, waokota matunda wafugaji na wafanyakazi juu ya umiliki wa rasilimali zao na mustakabali wa maisha yao.

Copies available at HAKIARDHI/LARRRI Library for readers

Last Updated ( DATE_FORMAT_LC1 )
 

News Content

Powered by JoomlaGadgets

Who's Online

We have guests online
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday1393
mod_vvisit_counterYesterday1630
mod_vvisit_counterThis week8556
mod_vvisit_counterLast week10952
mod_vvisit_counterThis month39186
mod_vvisit_counterLast month39131
mod_vvisit_counterAll days1437460

We have: guests online
Your IP: 54.159.103.80
 , 
Today: JUNE_SHORT 23, 2017
FOOTER_LINE1
FOOTER_LINE2